Saturday, July 7, 2012

WEMA NA JACK FULL MASUMBWI ULINGONI


Mabondia ambani ni wacheza filamu maarufu nchini Wema Sepetu kushoto na Jacklen Wolper wakioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi wajkati wo Tamasha la vMatumaini lililofanyika jumamosi katika uwanja wa Taifa
 
Bondia Wema Sepetu akimkimbia mpanzani wake Jacklen Wolper wakati wa mpambano usiku wa jana.

Refa John Chagu akiwainua mikiono juu mabondia Jacklen Wolper kushoto na Wema Sepetu kuashiria mpambano wao ni droo
Wema na jack baada ya pambano
Baada ya mpambano wawili hawo hawo wanaondoka eneo la tukio

No comments:

Post a Comment