Saturday, July 7, 2012

WABUNGE WA SIMBA WAWACHAPA WATANI WAO WA YANGA KWA PENALTI 3 -2


Wabunge wa wa timu ya wabunge ya Simba wakishangilia baada ya kuwafunga watani wao wabunge wa Yanga kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam leo. Hivi ndivyo hali ilivyokuwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam katika mtanange wa watani wa jadi Simba na Yanga (Wabunge) wakati wa TAMASHA LA MATUMAINI ambapo wabunge wapenzi wa timu ya Simba wameibuka kidedea kwa penalti 3-2. Simba wamefunga penalti 3 wakati Yanga wakifunga 2.

Kiduku pia kiliusika hasa baada ya ushindi.
Wabunge wakipiga pia kwaito ushindi noma bana.

No comments:

Post a Comment