Dar es salaam inafahamika kuwa mji mkubwa tanzania kwanini usiwe mfano wa kuigwa kwa kutunza mazingira?kama kampuni moja imeshindwa kwann tunashindwa kuipa nafasi kampuni nyingine.Picha ni barabara ya jamhuri karibu na kituo cha mafuta cha BP kama mwandishi wetu walikuta lundo la uchafu usiku huu |
No comments:
Post a Comment