Tuesday, October 23, 2012

WASHINDI 42 WA DROO YA TIGO SMART CARD WAPATIKANA

Ofisa wa Kampuni ya Tigo, David Sekwao (kushoto),  akibofya kwenye kompyuta kupata mmoja wa washindi 42 wa droo kwanza ya mwezi ya Jumuiya ya Tigo smart card, Dar es Salaam leo. Anayeshuhudia kulia ni Ofisa Mkaguzi kutoka Bodi ya Taifa ya Kusimamia Michezo ya Kubahatisha, Humud Abdulhussein.

Ofisa Uhusiano wa Tigo, Tully Mwaikenda, akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Meneja wa Intaneti wa Tigo, Titus Kafuma.

  Titus Kafuma akitoa maelezo kwenye mkutano huo

  Ofisa wa Kampuni ya Tigo, David Sekwao (kushoto),  akibofya kwenye kompyuta kupata mmoja wa washindi 42 wa droo kwanza ya mwezi ya Jumuiya ya Tigo smart card, Dar es Salaam leo. Anayeshuhudia kulia ni Ofisa Mkaguzi kutoka Bodi ya Taifa ya Kusimamia Michezo ya Kubahatisha, Humud Abdulhussein.

                                      Waandishi wa habari wakiwa kazini katika mkutano huo

No comments:

Post a Comment