Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika
mazungumzo na viongozi wa kampuni ya kilimo ya YARA ya nchini Norway inayoshughulika na
uzalishaji wa mbolea wakati walipomtembelea ikulu jijini Dar es Salaam
leo.Kampuni hiyo ina andaa mipango ya kuzalisha mbolea nchini.
(PICHA NA IKULU) |
No comments:
Post a Comment