Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Bw. Deo Mwanyika, Makamu wa
Rais wa Kampuni ya Barrick Tanzania baada ya kuibuka mchangiaji mkubwa
kwa kutoa dola za Kimarekani laki 5 kwa ajili ya kuchangia taasisi ya
Mkapa Hiv/Aids Foundation Jumanne Juni 5, 2012 usiku katika hoteli ya
Kilimanjaro jijini Dar es salaam. Kushoto ni Rais Mstaafu wa Awamu ya
Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi na kulia ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu
Mzee Benjamin William Mkapa aliyeandaa hafla hiyo iliyoweza kukusanya
shilingi bilioni 3.2 na kuvuka malengo ya harambee hiyo kwa asilimia
sita |
No comments:
Post a Comment