SPIKA WA BUNGE MHE. ANNA MAKINDA AAGANA NA BALOZI WA MSUMBIJI ANAYEMALIZA MDA WAKE
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimsikiliza kwa makini Balozi wa
Msumbiji hapa Nchini Mhe. Amour Zacarias Kupela, wakati alipofika Ofisini kwake
jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya kumuaga rasmi baada ya kumaliza muda wake
nchini.
No comments:
Post a Comment