Wednesday, June 13, 2012

MATUKIO MBALIMBALI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali na pia Mbunge wa Bariadi Mashariki John Cheyo(kulia) ,Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia  January Makamba(katikati) na Andrew Chenge(kushoto) wakibadishana mawazo (leo) mjini Dodoma mara baada ya kipindi cha maswali na majibu ya kikao cha pili cha Mkutano wa nane wa Bunge kumalizika.
Waziri wa Mambo ya Ndani Dkt. Emmanuel Nchimbi(kushoto) , Naibu Waziri wa Habari, vijana ,Utamaduni na Michezo Amos Makalla(katikati) na Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Anna Abdallah wakibadishana mawazo (leo) mjini Dodoma mara baada ya kipindi cha maswali na majibu ya kikao cha pili cha Mkutano wa nane wa Bunge kumalizika.
Naibu Spika wa bunge la Tanzania Job Ndugai(kushoto) akiwa na Mbunge wa Iramba mashariki Mwigulu Nchemba(kulia) wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma mara baada ya kipindi cha maswali na majibu ya kikao cha pili cha Mkutano wa nane wa Bunge kumalizika
Mwanasheria mkuu wa Serikali(AG) Jaji Frederick Mwita Werema(kulia) akibadilishana mawazo na Mbunge wa Kigoma Kusini  David Kafulila(kushoto) wakibadilishana mawazo  mjini Dodoma mara baada ya kipindi cha maswali na majibu kumalizika.
Mwenyekiti wa Simba Sport Club ambaye pia ni Mbunge wa Tabora mjini Ismail Aden Rage(kushoto) akibadilishana mawazo na Naibu Waziri wa Maji Dkt Binilith Satano Mahenge (kulia) leo mjini Dodoma mara baada ya kipindi cha maswali na majibu kumalizika.

No comments:

Post a Comment