|
Wananchi wakiwa na hamu ya kumuona Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari,
Dk. Steven Ulimboka wakati gari lililombeba likiwa limesimama katika
lango la kuingilia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar
es Salaam leo, tayari kusafirishwa kwenda India kutibiwa baada ya hali
yake kuzidi kuwa mbaya. |
Wanaharakati
wakiwa na mabango walipokwenda Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere, Dar es Salaam leo, kumsindikiza Mwenyekiti wa Jumuiya ya
Madaktari, Dk. Steven Ulimboka aliyekuwa anasafirishwa kwenda India
kutibiwa baada ya hali yake kuzidi kuwa mbaya
No comments:
Post a Comment