Kutoka kushoto ni Mtaalamu wa
Promosheni uhusiano na udhamini Tigo Bw, Edward Shilla(katikati)
Mkurugenzi Mtendaji wa Orijini Komedi Bw, Isaya Mwakilasa na mwisho ni
Afisa Habari wa Tigo kwa pamoja wakiwa katika mkutano na waandishi wa
habari ambapo uliohusu Tamasha maalum kwa ajili ya kusherekea Sabasaba
litakalo fanyika katika viwanja vya Coco Beach week end hii. Ambapo
wasanii mbali mbali watakuwepo wakitoa burudani.alitaja wasanii
watakaokuwepo kuwa ni Juma Nature, Roma Mkatoliki, Izzo B, Profesa J,
Mwasiti Barnaba Fid Q, Joh Makini pamoja na Burudani Maalumu
itakayotolewa na Kundi la Orijino Komedi. |
No comments:
Post a Comment