 |
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe;Said Mecky Sadiki Akiongea na
wahariri na waandishi wa habari pamoja na wadau wa sekta ya mawasiliano
mkoa wa Dar es salaam katika semina maalumu kuhusu utekelezaji wa mradi
wa anuani za makazi na postkodi katika mkoa wa Dar es salaam
iliyofanyika katika makao makuu ya mamlaka mawasiliano Tanzania leo
jijini Dar es salaam.
|
 |
)Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya mawasiliano Tanzania Prof John Nkoma
akitoa maelezo kuhusu utekelezaji wa mradi wa anuani za makazi na
postkodi katika semina hiyo. |
 |
Baadhi ya wahariri na waandishi wa habari pamoja na wadau wa sekta ya
mawasiliano mkoa wa Dar es salaam wakiwa katika semina maalumu kuhusu
utekelezaji wa mradi wa anuani za makazi na postkodi katika mkoa wa Dar
es salaam iliyofanyika katika makao makuu ya mamlaka mawasiliano
Tanzania leo jijini Dar es salaam. |
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe;Said Mecky Sadiki Akiongea na waandishi wa habari mara baada ya semina hiyo kumalizika.
No comments:
Post a Comment