Baadhi ya wadau mablimbali wa mawasiliano nchini waliohudhuria kwenye warsha hiyo. |
Mwanafunzi wa shule ya Msingi Mapinduzi Zuwena Muddy, akitoa mafunzo ya namana ya kutumia Computer kwa wadau waliohudhuria kwenye semina hiyo. |
Mwanafunzi Jackson Joseph kutoka shule ya Msingi Mapinduzi jijini Dar es Salaam manispaa ya Ilala, akihojiwa na waandishi wa habari juu ya faida ya matumizi ya Computer. |
kwa level hiz wantanzania tutaenda mbali sana....
ReplyDelete