Siku kadhaa baada ya kaimu mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Bi Mwantum
Mahiza kuelezea hali tete ya usafi wa jiji la dar es salaam nakueka
mikakati mbalimbali hali bado ni tete katika hilo kama ilivyokutwa na
mwandishi wetu eneo la Mtaa wa msimbazi manispaa ilala jijini dar es
salaam leo.
No comments:
Post a Comment