Friday, May 11, 2012

SIMBA WAONDOKA KWA MBWEMBWE KUELEKEA SUDAN

Makamu mwenyekiti wa timu ya simba Bw;Godifrey Nyange ''Kaburu''akibadilishana mawazo na mchezaji nyota wa timu hiyo Emmanueli Okwi.katika uwanja wa ndege wa mwalimu juliasi nyerere jijini Dar es salaam wakati timu hiyo ikijianda kuondoka kwenda sudani kwenye mchezo wao wa marudio na al Hilal Shandy.
Kepteni wa timu ya simba Juma Kaseja akiojiwa na waandishi wa habari kuhusiana na maandalizi ya timu hiyo.
Makamu mwenyekiti wa timu ya simba Bw;Godifrey Nyange ''Kaburu akiteta jambo na wachezaji wa timu ya Simba.
Kepteni wa timu ya simba Juma Kaseja akimuelezea jambo makamu mwenyekiti wa timu ya simba Bw;Godifrey Nyange ''Kaburu
Wachezaji wa timu ya simba wakiingia kwenye chumba maalumu tayari kwa kuondoka.

No comments:

Post a Comment