Thursday, May 3, 2012

MPENDAZOE CHALI ZIDI YA MAHANGA

Mbunge wa jimbo la segerea (CCM)mhe Makongoro Mahanga akilakiwa na
wafuasi wa wake baada ya kuibuka kidedea katika kesi iliyokuwa
inamkabili dhidi ya mgombea wa chadema bw; Fredi Mpendazoe.
Baadhi ya wafuasi wa Fredi mpendazoe na wafuasi wa Makongoro Mahanga
wakiwa nje ya mahakama mara baada ya hukumu ya kesi hiyo kutolewa.
Wafuasi wa mpendazoe wakiwa na picha ya mteja wao baada ya kushindwa
kesi hiyo.
Asikari wa jeshi la polisi wakiwa makini kulinda usalama mara baada
ya kesi hiyo kumalizika.

No comments:

Post a Comment