Friday, May 11, 2012

KAGASHEKI AKABIZIWA OFISI RASMI

Aliyekuwa waziri wa maliasili na utalii Mhe;Ezekieli Maige katika  Akiongea na waandishi wa habari leo .katika. Hafla ya kukabidhi ofisi kwa waziri mpya wa wizara hiyo Mh; Balozi Hamisi Kagasheki ambaye ni wa kwanza kushoto na Naibu Waziri wake Mhe;Lazaro Nyarando ambaye ni wakwanza kulia.katika ukumbi wa mikutano wa wizara ya maliasili na utalii jijini Dar es salaam.
Naibu Waziri wa maliasili na utalii Mhe; Lazaro Nyarandu akisisitiza jambo katika hafla hiyo ya makabidhiano ya ofisi iliyofanyika leo katika wizara ya maliasili na utalii.
Waziri wa maliasili na utalii  Mh; Balozi Hamisi Kagasheki akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhiwa ofisi rasmi leo ambapo amesema watendaji wote walioguswa na kashfa mbalimbali katika wizara hiyo watachukuliwa hatua za kisheria mara moja iwezekanavyo.
Aliyekuwa waziri wa maliasili na utalii Mhe;Ezekieli Maige kulia wakiingia ofisini waziri na Naibu wake kuanza kazi rasmi baada ya kukabidhiwa ofisi leo.
Waziri wa maliasili na utalii  Mh; Balozi Hamisi Kagasheki akiwa kwenye picha ya pamoja na watendaji wa wizara hiyo.
Waziri wa maliasili na utalii  Mh; Balozi Hamisi Kagasheki akiwa kwenye picha ya pamoja na aliyekuwa waziri wa maliasili na utalii Mhe;Ezekieli Maige mara baada ya makabidhiano ya ofisi leo.

No comments:

Post a Comment