Thursday, May 3, 2012

UNDERTHESAMESUN YAANDAA MPANGO MAALUMU WA UTOAJI ELIMU ZIDI YA UBAGUZI WA ALIBINO

Mkurugenzi mtendaji wa underthesamesun Bi vick A. Ntetema amesema taasisi yake imeandaa filamu inayoelezea ubaguzi zidi ya alibino na vilevile wameandaa ziara maalum katika kanda ya ziwa yenye rengo ya kutoa ufahamu wa kutosha kuusu alibino katika shule 37 za sekondari katika kanda ya ziwa ambapo amesema ziala hiyo itafanyika mwenzi huu wa tano.Pia tarehe kumi ya mwezi huu wameandaa vipindi maalumu katika vipindi vya malumbano ya hoja na kipima joto.

No comments:

Post a Comment