Friday, May 11, 2012

KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YAKABIZI ZAWADI KWA WASHINDI KATIKA PROMOSHENI YA VUMBUA HAZINA CHINI YA KIZIBO

Washindi wakishangilia kwa pamoja na meneja wa bia ya Serengeti Premium  Lager Bw. Allan Chonjo mara baada ya kukabidhiwa zawadi zao jana.
Meneja wa bia ya Serengeti  SBL Bw.Allan Chonjo akimkabidhi Bi Agness Msengi jenereta aliyojishindia katika promosheni ya Vumbua Hazina chini ya kizibo inayoendeshwa na kampuni hiyo kupitia bia zake za Tusker Lager, Plisner Lager na Serengeti Premium Lager.

Meneja wa bia ya serengeti Bw Allan Chonjo akimkabidhi bw.Amadeus Minja jenereta aliojishindia kupitia promosheni inyoendeshwa na kampuni ya bia ya serengeti

No comments:

Post a Comment