Mo.eneja mauzo wa Nabaki Africa Bw;Jeff Kayton akiongea na waandishi wa
habari wiki mbili zilizopita katika makao makuu ya Nabaki Africa Ltd jijini Dar es salaam
wakati akikabidhi zawadi ya vocha yenye thamani ya shilingi laki moja na
hamsini katika droo ya shindano la shinda paa kutoka nabaki africa
mwezi wa pili na watatu ambapo washindi ni Bw; Isaack Limo na Kasty
Shirima .kulia kwake katikati ni Afisa masoko Bi Adelina Lashekya wa
kwanza kulia mshindi wa shindano hilo Bw; Isaac Lim
Afisa masoko Bi Adelina Lashekya akitoa ufafanuzi kuhusiana na shindano hilo.
No comments:
Post a Comment