Saturday, March 24, 2012

MAONYESHO YA HARUSI TRADE FAIR YA LEJEA TENA

Meneja masoko wa Tanzani harusi trade fair Bw;Hamis Omari katikati akiongea na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa idara ya habari jijini Dar es salaam juu ya maonyesho ya harusi trade fair yanayotajiwa  kufanyika kuanzia tarehe 30 mwezi wa tatu katika ukumbi wa Diamond Jublee kushoto meneja wa mausiano Amisa Juma.mwisho kulia.Nicole Gianna mshiriki wa maonyesho hayo.                                                                   Mshiriki wa maonyesho hayo Bi Nicole Gianna akitoa maelezo kuhusu ushiriki wake katika maonyesho hayo.                       

No comments:

Post a Comment