.JPG) |
Makamu wa pili wa rais wa Zanzibar Balozi seif Ali Iddi akihutubia
wajumbe waliohudhuria katika mkutano wa kujadili changamoto zinazoikumba
sekta ya maji katika nchi za Afrika ambapo wajumbe 60 kutoka nchi
mbalimbali za Afrika walihudhuria mkutano huo unaofanyika katika Hoteli
ya Kunduchi Beach jijini dar es Salaam..
|
 |
Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Dk Shukuru Kawambwa akimkaribisha mgeni Rasmi kutoa hotuba yake katika mkutano huo. |
 |
Baadhi ya wajumbe waliohuduria kwenye mkutano huo wakimsikiliza mgeni rasmi ambaye ni Balozi Seif kwa makini.
|
 |
Kikundi cha ngoma kinachofahamika kama Aya yolu Thieter kikitoa Burudani katika mkutano huo. |
Makamu wa pili wa rais wa Zanzibar Balozi seif Ali Iddi Katikati akiwa
kwenye picha ya pamoja na wajumbe waliohudhuria kwenye mkutano huo.
No comments:
Post a Comment