Monday, November 26, 2012

TCRA YATOA SEMINA KWA WATENDAJI WA MANISPAA YA ILALA

 Naibu Mkurugenzi maswala ya watumiaji wa huduma za mawasiliano (TCRA)atoa mada katika semina hiyo
 Naibu meya wa manispaa ya illala Mhe:Kheri Kessy akisoma hotuba wa ufunguzi wa semina ya madiwani na wakuu wa idara kutoka manispaa ya ilala iliondaliwa na mamalaka ya mawasiliano Tanzania lengo la semina hiyo ni kuwapa elimu viongozi hao katika mabadiliko ya utangazaji kutoka kutoka analogi kwenda digitali pamoja na umuhimu wa mteja kupata nakujua haki zake kutoka mamlaka ya mawasiliano Tanzania (kulia kwake)Naibu Mkurugenzi maswala ya watumiaji wa huduma za mawasiliano (TCRA
 Baadhi ya wajumbe walioudhuria semina hiyo
)aibu Mkurugenzi maswala ya watumiaji wa huduma za mawasiliano (TCRA) kulia akimkabdhi zawadi ya simu Naibu meya wa manispaa ya ilala Mhe:Kheri Kessy

No comments:

Post a Comment