Thursday, November 29, 2012

MKUTANO WAKUJADILI MFUMO WA PAMOJA WA TAKWIMU STATISTICAL MASTER PLAN WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

 Naibu waziri wa fedha Mhe:Sada Salum akisoma hotuba wakati wa ufunguzi wa mkutano wa pili wa mwaka wamapitio wa mfumo wa takwimu wakujadili umuhimu wa takwimu katika jamii wakati wa kupanga utekelezaji wa miradi mbli mbali ya serikali pamoja na sekta binafsi ambapo amesema katika mkutano huo ulioshirikisha watakwimu pamoja na wafadhili ambao kutoka benki ya dunia wenye lengo kupitia changamoto pamoja na mafanikio yalipatikana tangia kuanzishwa kwa mfumo huo vilevile ameitaka jamii kutumia mfumo huo kwani ndio chachu ya maendeleo kwa jamii yoyote ile.mkutano huo umefanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa (DICC)jijini Dar es salaam leo.

Baadhi ya wadau wakiwa kwenye mkutano huo wa pili wa mwaka wamapitio wa mfumo wa takwimu wakujadili umuhimu wa takwimu katika jamii

No comments:

Post a Comment