Monday, November 26, 2012

KAMPUNI YA TIGO YADHAMINI MPANGO WA DAMU SALAMA

 Afisa masoko tigo Bw:Alex Msigara (kushoto) akimkabidhi maneja wa mradi wa damu salama Dr.Efesper Nkya hundi yenye thamani ya shilingi milioni 32 za kitanzania ikiwa ni ufadhili uliotolewa na kampuni ya simu ya za mkononi tigo katika kudhamini mpango wa Taifa wa damu salama juu ya uwamasishaji wa uchangiaji wa damu salama wa hiyari kwenye shughuli za siku ya ukimwili duniani zitakazofanyika Decemba 1 mwaka huu katika uwajna wa ilulu ulioko mjini lindi ambapo Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mhe:Dr.Jakaya Mrisho kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye siku hiyo ya ukimwi duniani (katikati)Aafisa uhusiano msaidizi tigo Bi:Tuli Mwaikenda.akishuhudia makabidhiano hayo.hafla hiyo ilifanyika kwenye ukumbi wa JB Belmont jijini Dar es salaam,
 maneja wa mradi wa damu salama Taifa Dr.Efesper Nkya( kushoto) akisisitiza jambo wakatia wa makabidhiano hayo
Afisa masoko tigo Bw:Alex Msigara(katikati)akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kabla ya kukabidhi hundi hiyo kwa  maneja wa mradi wa damu salama  hundi yenye thamani ya shilingi milioni 32 za kitanzania ikiwa ni ufadhili uliotolewa na kampuni ya simu ya za mkononi tigo katika kudhamini mpango wa Taifa wa damu salama juu ya uwamasishaji wa uchangiaji wa damu salama wa hiyari kwenye shughuli za siku ya ukimwili duniani zitakazofanyika Decemba 1 mwaka huu(kushoto)maneja wa mradi wa damu salama Taifa Dr.Efesper Nkya(kulia)Aafisa uhusiano msaidizi tigo Bi:Tuli Mwaikenda

No comments:

Post a Comment