Tuesday, November 6, 2012

SASA WATEJA WA TIGO PESA KUZAWADIWA MUDA WA MAONGEZI


  
Meneja Mauzo na Usambazaji wa Kitengo cha Tigo Pesa cha Kampuni ya Tigo, Goodluck Charles akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam, kuhusu uzinduzi wa promosheni itakayomuwezesha mteja atakayetuma fedha kwa Tigo Pesa na kuzawadiwa muda wa maongezi. Kulia ni Ofisa Uhusiano wa kampuni hiyo, Tully Mwaikenda. 

No comments:

Post a Comment