Wednesday, October 24, 2012

WATEJA WA TIGO SASA KUPATA HUDUMA KENYA,UGANDA,RWANDA

 
 Meneja wa Bidhaa za Simu za Kimataifa wa Kampuni ya Tigo, Mwajuma Mwenda (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu huduma mpya ya wateja wa malipo kabla kupata mawasiliano ya simu ya mtandao huo wakiwa katika nchi za Kenya, Rwanda na Uganda.Kushoto ni Ofisa Uhusiano wa kampuni hiyo, Tully Mwaikenda

 
 
Ofisa Masoko wa Kampuni ya Simu ya Tigo, Jacquiline Nnunduma akielezea jinsi wateja wao watakavyofaidika na huduma hiyo wakiwa katika nchi za Kenya, Uganda na Rwanda. Kuliani Ofisa Uhusiano wa Tigo, Tully Mwaikenda

 
Meneja wa Bidhaa za Simu za Kimataifa wa Kampuni ya Tigo, Mwajuma Mwenda (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu huduma mpya ya wateja wa malipo kabla kupata mawasiliano ya simu ya mtandao huo wakiwa katika nchi za Kenya, Rwanda na Uganda.Kushoto ni Ofisa Uhusiano wa kampuni hiyo, Tully Mwaikenda.

No comments:

Post a Comment