Thursday, November 29, 2012

AGAPE TELEVISHINI KURUSHA LIVE LIGI YA NBA

Afisa uhusiano wa Agape Televishen (ATN) Bw:Bbrian Urassa akiongea na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa mikutano wa idara ya habari maelezo jijini Dar es salaam juu ya kuwanza kwenyeshwa moja kwa moja (LIVE)michuano ya mpira wa kikapu wa marekani maarufu kama (NBA league) kupitia king'amuzi cha (TING)ambapo amesema mechi zote zitakuwa zikirushwa juma pili alufajiri na marudio yake kila jumapili saa 8:30 mchana ambapo mechi ya kwanza kurushwa hewani itakuwa kati ya Brookyn na Miami usiku wa kuamkia jumapili saa 9:30 alufajiri na marudio yake itakuwa 8;30 mchana siku ya jumapili

No comments:

Post a Comment