Waziri
wa viwanda na biashara na masoko mhe Abdala Kigoda akitoa hotuba wakati wa
ufunguzi wa mkutano mkuu wa 23 wa siku ya viwanda Afrika uliofanyika leo katika
Hotel ya Serena jijini Dar es salaam lengo la mkutano huo nikujadili changamoto
zinazoikabili sekta ya viwanda barani Afrika ambapo amesema sekta ya viwanda
nchini bado ni changamoto kubwa ukilinganisha na nchi nyingine barani Afrika
katika ushindani wa kibiashara ndani na nje ya nchi,vilevile mkutano huo
uliambatana na uzinduzi wa Ripoti maalumu ya hali ya ushindani wa sekta ya
viwanda nchini.
mkurugenzi
wa viwanda mama (NDC)shirika la maendeleo ya Taifa Bw:Alley Mwkibolwa
akichangia mada kwenye mkutano huo kuhusiana na makaa ya mawe yaliganga
na mchuchuma mbapo akisisitiza sekta ya viwanda kutumia furusa hiyo
katika kukuza viwanda nchini pamoja na uchumi kwa ujumla
Afisa
uhusiano wa shirika la viwango Tanzania TBS Bi:Roida Ndusamila akifafanua jambo
kwa waandishi wa habari kuhusu ushiriki wao katika mkutano huo ambapo amesema
lengo lao nikutoa elimu kwa wenye viwanda walioshiriki kwenye mkutano huo
umuhimu wakutengeneza bidhaa zenye ubora na viwango vinavyositahili ilikupata
soko la ndani na nje ya nchi.
Meneja
wa uhusiano Bw:Abeli Ngapemba akitoa ufafanuzi kuhusina kaa la mawe kutoka
liganga na mchuchuma kwa mmoja wa wajumbe alieshiriki kwe mkutano huo leo.
No comments:
Post a Comment