Wednesday, November 7, 2012

TIGO YATOA YA SMARTPHONE KWA BEI RAHISI


Meneja wa intaneti tigo Bw;Titus Kafuma akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa promosheni inayomuezesha mteja kununua smartphone yenye kiwango na hadhi ya hali ya juu aina ya Ascend Y200 kwa bunguzo la hali ya juu ambapo amesema wateja watakao nunua simu hizo watapata furusa ya kujishindia bidhaa za promosheni kutoka tigo na zawadi kubwa katika promosheni hiyo wateja kumi watajishindia safari ya kwenda nchini china katika droo itakayochezeshwa mara tano huku kila droo itatoa washindi wawili.katika safari hiyo.



Afisa mahusiano msaidizi kampuni ya simu ya tigo Bi:Mariamu Mlangwa akifafanua jambo wakati wa uzinduzi wa promosheni hiyo.ulifanyika kwenye ukumbi wa JB Belmont Hoteli jijini Dar es salaam leo.

mkurugenzi mtendaji wa Huwawei Bw;Bruce Zhang akifafanua kuhusiana simu hiyo aina ya Ascend Y200 iliyozinduliwa katka promosheni maalumu chini ya kampuni ya tigo



meneja masoko na usambazaji wa kampuni ya Huawei Techuologis Bw:Ramadhan Nkanyemka(kushoto),meneja mahusiano wa Huawei na Tigo Bw;Ma lii (katikati)mkurugenzi mtendaji wa Huwawei Bw;Bruce Zhang (kulia)wakijadili jambo mara baada ya kumalizika kwa uzinduzi wa promosheni hiyo

Meneja wa intaneti tigo Bw;Titus Kafuma akionyesha aina ya simu hiyo pamoja na smart card kwa waandishi wa habari walioudhuria uzinduzi huo
 

No comments:

Post a Comment