Baadhi ya wakuu wa idara mbalimbali kutoka wizara ya kazi na ajira, pamoja na waandishi wa habari wakiwa kwenye mkutano huo wa maandalizi ya maonyesho ya 13 ya nguvu kazi yanayotarajiwa kufanyika katika nchi ya Burundi mjini Bujumbura na kunzia tarehe 2-9 mwezi 12 mwaka huu.
KAMPUNI YA SIMU ZA MKONONI YA TIGO YAPATA WASHINDI WENGINE 42 KATIKA DROO YA PILI YA SMARTCARD
Meneja
wa intaneti wa Tigo Bw:Titus Kafuma (kushoto) akiongea na waandishi wa habari
leo katika Hotel ya JB BELIMONT jijini Dar es salaam wakati wakuchezesha Droo
ya pili ya SMARTCARD ambapo wateja 42 wameibuka wandi wa Droo hiyo huku
washindi wawili wakipata kifurushi cha vocha ya Shilingi 50,000 manunuzi ya
bidhaa katika maduka ambayo tigo itawaelekeza kufanya manunuzi hayo huku wateja
wengine wakijishindia tiketi za kwenda kuangalia mpira katika kumbi za mpira
Tarehe 9 mwezi wa 12 kutizama mechi za machesta city na machesta untd na
wengine wakishinda tiketi za kwenda kula Dina katika hotel zenye hadhi ya juu
na washindi wengine wamejishindia tiketi za kwenda kuangalia sinema katika
kumbi ambazo kampuni ya simu tigo itakuwa imewalipia (kulia)Afisa msaidizi uhusinoTigo
Bi:Tuli Mwaikenda
Meneja
wa ofa tigo Bw;David Swekwao (katikati)akichezesha Droo ya pili ya
SmartCard(kushoto)Afisa msaidizi uhusinoTigo Bi:Tuli Mwaikenda(kulia)mkaguzi wa
bodi ya michezo ya kubaatisha Bw:Abdallah Hemedy.
No comments:
Post a Comment