Tuesday, June 5, 2012

ZIARA YA NAPE MKOA NJOMBE

Nape akizindua shina la wakereketwa wa CCM la Melizine mjini Njombe wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa Chama mkoani Njombe

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye  akicharaza ngoma wakati wa mapokezi yake katika kijiji cha Mlangali mkoani Njombe juz

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye  akihutubia mkutano wa hadahara katika Uwanja wa Turbo, mjini Njombe, akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa Chama na kukagua miradi ya maendeleo mkoani humo, leo
Msafara wa Nape ukiongozwa na pikipiki wakati ukiingia mjini Njombe kwa ajili ya mkutano wa hadhara na kufungua matawi kadhaa aya CCM

No comments:

Post a Comment