ADVERTISEMENTS/MATANGAZO
Friday, March 16, 2012
WAHALIBIFU WA UWANJA WA TAIFA WAPEWA ONYO KALI NA BOSI WA TFF
Rais wa TFF Bwana leodgar tenga akiongea na wandishi wa habari hii leo katika makao makuu ya shilikisho hilo jijini Dar es salaam kuusiana na vulungu zilizo tokea uwanja wa taifa hivi karibuni na kusababisha uhalibifu mkubwa katika uwanja huo.Ambapo amewatahazalisha wa penzi wa mpira nchini kutoludia tena kufanya vilugu uwanjani na atakaye subutu kufanya hivyo ata chukuliwa hatua kali za kisheria, pembeni yake ni afisa habari wa TFF Bwana bonifas wambula.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment