![]() |
Balozi wa heshima wa bangladeshi Bwana sadrudin shariff akikata utepe akiashilia makabiziano rasmi ya jengo maalum kwa ajili ya wanafunzi wenye ulemavu wa akili katika shule ya msingi Gilman rutihinda ililopo katika kata ya kigogo manisipa ya kinondon,kushoto ni Bwana Brad morrow mfanzili wa jengo hilo pamoja na mwenyekiti wa kikundi cha kusaidia watoto wenye ulemavu wa akili jiji Dar es salaam Bi Rose rupia |
Balozi maalum wa bangladesh Bwana sadrudin shariff alitoa hotuba kwa wageni waliouzulia katika makabuziano ya jengo maalum kwa ajilia ya watoto wenye ulemavu wa akili.
Wanakikundi pamoja na mgeni rasmi Bwana sadrudin shariff wakiwa mbele ya jengo maalum lilojengwa na kikundi cha kina mama cha kusaidia watoto wenye ulemavu wa akili chini ya ufadhiri wa Bwana brad morrow wa pili kushoto.
No comments:
Post a Comment