ADVERTISEMENTS/MATANGAZO
Friday, March 16, 2012
JESHI LA POLISI LIPO KWA AJILI YA USALAMA WA NAN?
Hivi ni kweli jeshi la polisi lipo kwa ajili ya kulinda usala wa mtanzania?sina shaka inawezekana dhamila kuu ya jeshi hilo ni kulinda usalama wa mtanzania vile nashawishika kusema dhamila ya jeshi hilo nitofauti na utendajiwake wa kazi. Kwani katika siku za hivi karibuni kumekuwa na matukio yanayousu jeshi hilo moja kwa moja kutumia madalaka yao vibaya,.tukiludi katika katiba ya sasa ya nchi hii ibara ya kumi na nne ya katiba kila mtanzania anahaki ya kuishi na katika ibara ya kumi na tatu kila mtanzania yupo chini ya sheria kwa maana hiyo basi jeshi la polisi limekuwa mstari wa mbele kuvunja katiba ya nchi hii tukianza moja kwea moja na matukio yaliotokea songea mkoani ruvuma na mjini urambo mkoani tabora polisi walidiki kumuua raiya asiyekuwa na hatia baada ya kumpiga na kumsababishia kifo chake bila kosa lolote tunaona wazi jinsi polisi wa jeshi hilo walivyo mnyima raiya huyo haki ya kuishi kama ibara ya kumi na nne ya katiba inavyosema hata hivyo viongozi wa jeshi hilo hawakuchukua hatua zozote na ndipo wananchi kwa kutimia haki yao ya msingi waliandamana kwa lengo la kuwamsha kutoka usingizini viongozi wa jeshi hilo ili kuwachukulia hatua polisi wa jeshi hilo waliofanya mauaji kwa raiya huyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
hapa kweli utata, tukizingatia hali halisi na mazingira ya kazi za askari zinapelekea wazi wao kushindwa kutekeleza majukumu yao.
ReplyDeletekuna maswala ya maslahi binafsi na mambo ya sheria.
mtu hajui sheria atafanyaje kazi yake kikatiba?
Really a great addition. I have read this marvelous post. Thanks for sharing information about it. I really like that. Thanks so lot for your convene. https://www.surgeongate.org
ReplyDelete