Friday, March 16, 2012

uchaguzi Arumeru ndani ya Arusha

Hivi ni lini siasa za Watanzania zitakomaa na kukua? si ajabu sana kukuta sehemu za kampeni wanachama wakitupiana maneno na hata kupigana au kufanyiana fujo.
Naomba tujaribu kukua na kupevuka katika masuala ya siasa ili kwetu iwe kama njia ya kuonesha Demokrasia ya kweli na iliyo makini.

1 comment:

  1. kwa kweli hilo ni tatizo hasa kwa siasa za nchi changa kama Tz,
    mtazamo wangu bora tujufunze kwanza kutoka kwa wenzetu wanafanya nini? then we can move forward

    ReplyDelete