Monday, March 19, 2012

 
 DR.HARRISON MWAKYEMBE AREJEA OFISINI KWAKE NAKUSEMA SASA YUKO FITI......
Naibu waziri wa ujenzi Dr.Harrison Mwakyembe akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam juu ya Afya yake kwa ujumla amesema sasa yuko fiti na amerejea ofisni rasmi leo kwa ajili ya kuendelea na kazi akijibu maswali kutoka kwa waandishi wa habari amesema yeye amemwachia mungu na vilevile kuhusu mambo mengine yeye anasubiri ripoti maalum kutoka tume iliyoundwa kushugulikia ugonjwa wake.

2 comments:

  1. tanataka watu kama hawa wanaopenda kuwajibika.
    Big up mzee mwakyembe!

    ReplyDelete
  2. tanataka watu kama hawa wanaopenda kuwajibika.
    Big up mzee mwakyembe!

    ReplyDelete