Afisa Masoko wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Tigo Jacqueline Nnunduma akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wakitangaza huduma mpya ya kununua kifurushi cha Xtreme kupitia Tigopesa. |
FAIDA atakazopata mteja atakayetumia huduma ya Xtreme kupitia
tigopesa ni pamoja na muda wa nyongeza wa Tsh.450 utakao muwezesha
kupiga simu kwenda mitandao yote nchini. Mbali na hilo wateja wataweza
kununua vifurushi hivyo kwaajili ya ndugu jamaa na marafiki.
No comments:
Post a Comment