Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Mwinyihaji Mwadini
Makame,(kulia) akitoa taarifa ya utekelezaji wa Kazi za Wizara hiyo,katika
Mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,ukujumuisha na watendaji katika ukumbi wa Mkutano wa Ikulu Mjini
Zanzibar,ikiwa ni mfululizo kwa kila Wizara
kuzungumzia utekelezaji wa kazi zake.
|
No comments:
Post a Comment