RAIS WA ZANZIBAR Dk. SHEIN AENDA UINGEREZA KWA ZIARA MAALUM
Rais wa zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na
Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi pamoja na viongozi wengine
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,akielekea
Nchini Uingereza kwa Ziara maalum,katika safari hiyo Dk. Shein
amefuatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein.
No comments:
Post a Comment