MKUTANO WA JUMUIYA YA WASTAAFU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ,ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohd Shein
akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wastaafu wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Zanzibar Mohd Ali Mwalim huko katika mkutano Mkuu
wa Wastaafu hao Bwawani Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohd
Shein akiwahutubia wastaafu wa Jumuiya ya Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Zanzibar huko katika mkutano Mkuu wa Wastaafu hao Bwawani
Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohd
Shein wakatikati akiwa katika Picha ya pamoja na Viongozi wa Jumuiya ya
Wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Zanzibar huko katika
mkutano wa Jumuiya hio Bwawani Mjini Zanzibar.
Miongoni mwa Wastaafu wa Jumuiya ya Muungano wa Tanzania
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar hayupo pichani wakati alipokutana nao
huko Bwawani Mjini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment