Tingatinga likibomoa nyumba zilizokuwa za shilika la reli na bandari alfajiri ya leo mtaa wa gerezan ili kupisha ujenzi wa kituo kikuu cha nabasi yaendayo kwa kasi.
Askali wa jeshi la polisi akiwatangazia wananchi wa eneo hilo wakae mbali na eneo hilo ili kuepusha maafa yanayoweza kutokea.
Mmoja wa wakazi aliyekumbwa na bomoa bomoa boma hiyo.

Baadhi ya askali wa jeshi la polisi aliofika kulinda usalama katika eneo hilo.
No comments:
Post a Comment