Wednesday, March 21, 2012



 Waziri wa uchukuzi Mhe; Omari Nundu akiongea na wadau wa usafiri wa anga leojijini Dar es salaam katika Hoteli ya Serena mkutano huo utaangalia mafanikio na changamoto zinazoikabibil sekta hiyo ya usafiri wa anga,
Baadhi ya wadau wa usafiri wa anga wakiwa kwenye picha ya pamoja na waziri wa uchuukuzi mhe Omari Nundu leo jijini Dar es salaam katika ufunguzi wa mkutano wa usafiri wa anga unaofanyika leo na kesho

No comments:

Post a Comment