Saturday, June 30, 2012

WASANII KIBAO KUPAFOM LIVE VIWANJA VYA COCO BEACH KWENYE TAMASHA LA TIGO

Kutoka kushoto ni Mtaalamu wa Promosheni uhusiano na udhamini Tigo Bw, Edward Shilla(katikati) Mkurugenzi Mtendaji wa Orijini Komedi Bw, Isaya Mwakilasa na mwisho ni Afisa  Habari wa Tigo kwa pamoja wakiwa katika mkutano na waandishi wa habari ambapo uliohusu Tamasha maalum kwa ajili ya kusherekea Sabasaba litakalo fanyika   katika  viwanja vya Coco Beach week end hii. Ambapo wasanii mbali mbali watakuwepo wakitoa burudani.alitaja wasanii watakaokuwepo kuwa ni Juma Nature, Roma Mkatoliki, Izzo B, Profesa J, Mwasiti Barnaba Fid Q, Joh Makini pamoja na Burudani Maalumu itakayotolewa na Kundi la Orijino Komedi.
Msanii kutoka Kundi la Orijino Komedy ambapye pia ndiye mkurugenzi Mtendaji wa Kundi hilo maarufu kama Baba Andunje akielezea namna watakavyo wapagawisha wateja wa Tigo watakaohudhuria katika Tamasha hilo.
Msanii Mwasiti wa Muziki wea Kizazi Kipya naye atakuwepo katika Tafrija hiyo ambapo aliwataka Mashabiki wake wamwagike siku hiyo ili wapate uhondo wake.

No comments:

Post a Comment