Saturday, June 30, 2012

DK STEVEN ULIMBOKA APELEKWA INDIA KWA MATIBABU ZAIDI

Wananchi wakiwa na hamu ya kumuona Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari, Dk. Steven Ulimboka wakati gari lililombeba likiwa limesimama katika lango la kuingilia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo, tayari kusafirishwa kwenda India kutibiwa baada ya hali yake kuzidi kuwa mbaya.
Wanaharakati wakiwa na mabango walipokwenda Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo, kumsindikiza Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari, Dk. Steven Ulimboka aliyekuwa anasafirishwa kwenda India kutibiwa baada ya hali yake kuzidi kuwa mbaya

No comments:

Post a Comment