Friday, June 1, 2012

RAIS WA ZANZIBAL DK. SHEIN AKUTANA NA WIZARA YA NCHI OFISI YA RAIS,MIKOA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mikoa ikiwa ni utaratibu wake wa
kuzungumza na kila wizara katika utekelezaji wa kazi katika
Mikoa,(kushoto) Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif
Sharif Hamadi.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mikoa ikiwa ni utaratibu wake wa
kuzungumza na kila wizara katika utekelezaji wa kazi kaMikoa.

[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment