Monday, June 4, 2012

RAIS KIKWETE AKUTANA NA WABUNGE WA TANZANIA KATIKA BUNGE LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI LEO JIJINI ARUSHA

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wabunge wa tanzania katika jumuiya ya Afrika mashariki baada ya kukutana nao leo katika hotel ya Ngurludoto muontain lodge jijini Arusha .Wabunge hao wapo Arusha tayari kwa kikao cha kwanza na wenzao wa Keya,Uganda,Rwanda na burundi kesho  ambapo wanatarajia kuchagua Spika wa bunge hilo pamoja na kuapishwa tayari kuanza majukumu yao.

No comments:

Post a Comment