Friday, June 1, 2012

NOELA MICHAEL ANYAKUA TAJI LA MISS REDD'S MISS TABATA USIKU HUU

MSHINDI WA KINYANG'ANYIRO CHA MISS TABATA 2012,NOELA MICHAEL(KATIKATI)AKIWA PAMOJA NA MSHINDI WA PILI DIANA SIMON(KUSHOTO)NA WATATU WILHEMINA MVUNGI(KULIA)MUDA MFUPI BAADA YA KUMALIZIKA KWA KINYANG'ANYIRO HICHO,USIKU HUU KWENYE UKUMBI WA DA'WEST PART TABATA JIJINI DAR.
TANO BORA
KUMI BORA
WASHIRIKI HOTE WAKIWA KWENYE JUKWAANI TAYALE KWA MPAMBANO WA MISS TABATA USIKU WA JANA KWENYE UKUMBIA DA'WEST JIJI DAR ES SALAAM

No comments:

Post a Comment