Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikaribishwa kwa gwaride baada ya kuwasili
kwenye uwanja wa ndege wa Luanda, Angola May 31, 2012 kumwakilisha Rais
Jakaya Kikwete katika Kikao cha Wakuu wa Nchi za Jumuiya Maendeleo ya
Kusini mwa Afrika, SADC. Anaongozwa na Waziri wa Nishati na Maji wa
Angola Joao Baptista Borges. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
No comments:
Post a Comment