SUALA LA AFYA YA UZAZI SALAMA LIPEWE KIPAUMBELE MCHAKATO WA KATIBA
Mkurugenzi wa Chama cha Wanasheria wanawake TAWLA Mwanasheria Tike Mwampipile akizungumza na washiriki wa semina ya mapendekezo ya
kuwepo kwa sheria ya Afya ya Uzazi Salama katika
mchakato wa maoni ya kuandikwa kwa Katiba Mpya iliyomalizika jana
kwenye ukubi wa hoteli ya Blue Pear Ubungo Plaza jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment