Q |
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa China nchini, Lu Youqing kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Juni 5,2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya kinyago cha faru, Balozi wa Canada nchini, Robert Orr ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar salaam Juni 5,2012 kuaga |
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Canada nchini, Robert Orr ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam May 5, 2012 kuaga |
No comments:
Post a Comment